Programu ya Mabalozi wa Kimataifa imelenga kutambua wanachama wa jamii ambao wanatoa mchango wa ubora katika jamii ya Zcash na kuwawezesha kuwa viongozi. Mabalozi huongoza shughuli zinazukuza jamii ya Zcash, kuhamasisha watu kutumia Zcash, na kuongeza ufahamu wa teknolojia ya Zcash inayohifadhi faragha.
Mbalozi ua ana fanya nini?
- Kuandaa matukio ya kukutana kwa mtu au mkutano wa mtandaoni
- Kuwa na uwepo mzuri katika mitandao ya kijamii na kuunda maudhui ya asili yanayohusiana na Zcash.
- Mabalozi wana uhuru wa kisanii katika shughuli wanazopanga
Mabalozi wa Sasa
Balozi | Nchi | Jina la Jukwaa | Twitter |
Aiden | South Korea | @AidenZ | |
Artkor | Russia | @artkor | |
BostonZcash | US | @BostonZcash | |
Chidi | Nigeria | @lisa001 | |
Eric | US | @_eric | |
Jacob | US | @readaboutme1991 | |
Madison | US | @madisonedge | |
Michael | Brazil | @michae2xl | |
Yoditar | Venezuela | @yoditar | |
Zoz | Saudi Arabia | @zoz | |
Tim | France | @tim_ukrainian |