Orodha ya rasilimali zinazopendekezwa kwa watengenezaji wapya wa Zcash
Muhtasari wa Jumla wa jinsi Blockchains na Zcash inavyofanya kazi:
Building understanding of how dependencies are reviewed & maintained by the teams:
Zcashd Main Pull Requests / Zebrad Main Pull Requests
Halo Crate / Orchard Crate
Orodha hii ilikusanywa kutoka kwa mapendekezo ya watengenezaji kutoka Zcash Foundation na ECC.
Ikiwa una rasilimali zaidi (viungo, vitabu, njia nk) ya kusasisha orodha, unaweza kuzijumlisha!
Timu hazina rasilimali za kusasisha kila kitu, lakini kufungua masuala unayokutana nayo kutaelekeza uelekeo wa mwongozo na rasilimali.